Bangala kuibukia FAR Rabat

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jul 2023
Bangala kuibukia FAR Rabat

Kiungo wa Yanga Yannick Bangala anahusishwa kujiunga na FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga Nasreddine Nabi

Bangala sio miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa kuitumikia Yanga msimu ujao, hata hivyo uongozi bado haujatoa taarifa kuhusu hatma yake

Bangala, Djuma Shabani na Mamadou Doumbia wamepewa mkono wa kwa heri na kinachosubiriwa ni taarifa rasmi

Baada ya msimu uliopita kumalizika, Bangala na Djuma waliandika barua kwa uongozi wa Yanga kuomba kuvunja mikataba yao na wakati huohuo Yanga ikiwa na taarifa ya Bangala kuwa kwenye mazungumzo na Azam Fc

Yanga inakamilisha majadiliano na wachezaji hao katika utaratibu wa kuvunja mikataba yao kabla ya kutoa taarifa rasmi

Djuma huenda akarejea DR Congo akihusishwa na klabu ya TP Mazembe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’