Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga, siku ya Jumanne Julai 25 watamfahamu mpinzani wao hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza itafanyika huko Misri, saa 9:00 Alasiri
Yanga na Simba kutoka Tanzania ni miongoni mwa timu 54 zikazoshiriki ligi ya mabingwa
Azam Fc na Singida FG ni miongoni mwa timu 52 ambazo zitashiriki kombe la Shirikisho
Yanga inahitaji kushinda mechi nne (hatua ya awali na raundi ya kwanza) ili kutinga hatua ya makundi
ADVERTISE HERE