Je kuna sapraizi kwa Mkapa leo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2023
Je kuna sapraizi kwa Mkapa leo?

Kilele cha Wiki ya Mwananchi ni leo pale uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo pamoja na burudani nyingi zitakazojiri, Wananchi watapata kukifahamu kikosi chao cha msimu wa 2023/24

Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu nyota wa kigeni hasa wale wanaoachwa, majibu yatapatikana leo dimba la Mkapa

Hatma ya Yannick Bangala, Djuma Shaban, Mamadou Doumbia na hata Fiston Mayele itafahamika leo

Nyota hao wanatarajiwa kuwepo uwanjani, je wanaagwa au wanabaki? ni leo kwa Mpaka

Je Yanga imefunga usajili? bado kulingana na kauli ya Afisa Habari, Ali Kamwe

"Rais (Injinia Hersi Said) kuna mshambuliaji mmoja anapambana kukamilisha usajili wake ili tuwe nae kwenye Wiki ya Mwananchi hivyo kama dili lake litakamilika kwa wakati basi tutamtangaza," alisema Kamwe

Pia bado kuna jina la mchezaji mmoja wa ndani hajatambulishwa!, majibu yatapatikana uwanja wa Benjamin Mkapa leo

Hii imeeenda...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’