Kiungo fundi wa mpira Stephane Aziz Ki ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao leo wanakamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kesho



Ki pia amewakaribisha nyota wenzake aliokuwa nao Asec Mimosas Yao Kouassi na Pacome Zouzoua

ADVERTISE HERE