Johora kuibukia Geita Gold

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2023
Johora kuibukia Geita Gold

Geita Gold FC iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kipa Erick Johora ambaye amemaliza mkataba na klabu ya Yanga

Johora aliitumikia Yanga kwa misimu miwili baada ya kujiunga nayo mwaka 2021 lakini hakuwa akipata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza mbele ya Djigui Diarra, Abuutwalib Mshery na Metacha Mnata 

Yanga ilimsajili baada ya kuonyesha kiwango bora akiwa na Aigle Noir ambao walialikwa kuchuana na Yanga katika kilele cha wiki ya Mwananchi msimu wa 2020/21

Akiwa na Yanga Johora anajivunia mafanikio aliyopata katika misimu miwili ambayo ni kushinda mataji saba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’