Mshery yuko fit kwa msimu mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2023
Mshery yuko fit kwa msimu mpya

Mlinda lango wa Yanga Aboutwalib Mshery yupo fit kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano 2023/24

Baada ya kukosekana katika nusu ya msimu uliopita kutokana na majeraha, Mshery anarudi kuendelea kuwapa raha Wananchi

Katika eneo la walinda lango, Yanga imefaulu kwa kuwa na makipa wa daraja la juu

Djigui Diarra anatarajiwa kuendelea kuongoza jahazi lakini Metacha Mnata na Mshery nao watakuwa na nafasi katika baadhi ya mechi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’