Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na mpango wa Taifa wa damu salama, wanaendesha zoezi la kuchangia damu kwenye Viwanja vya Makao Makuu ya Klabu Jangwani, hospitali ya Mloganzila na hospitali zote za Mkoa na Wilaya nchi nzima
Wananchi wameendelea kujitokeza kushiriki zoezi hilo







ADVERTISE HERE