Unaambiwa mwenye jezi yake namba 6 tayari amefika, leo Wananchi mtamfahamu
Muda wa utambulisho ni saa 6 na dakika 6 usiku
Yale maswali kuhusu namba sita ni nani hatimaye leo yanapata majibu!

WANANCHIIIII....!
ADVERTISE HERE