Tujitokeze kwa wingi kuchangia damu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2023
Tujitokeze kwa wingi kuchangia damu

Kesho Jumatano, Julai 19 2023, klabu ya Yanga kwa kushirikiana na mpango wa Taifa wa damu salama, wataendesha zoezi la kuchangia damu kwenye Viwanja vya Makao Makuu ya Klabu Jangwani, hospitali ya Mloganzila na hospitali zote za Mkoa na Wilaya nchi nzima

Uongozi wa Yanga umewaasa mashabiki na wanachama kujitokeza katika maeneo yao kushiriki zoezi hilo ili kuokoa maisha ya wenya uhitaji

Kwa wale watakaoshiriki, watapata zawadi mbalimbali kama jezi na tiketi kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa Jumamosi, Julai 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’