Wiki ya Mwananchi imefika, umekata tiketi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2023
Wiki ya Mwananchi imefika, umekata tiketi?

Ni siku mbili tu zimebaki kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi siku ya Jumamosi Julai 22 ambapo mchezo wa kibabe kati ya Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Kwa wale ambao bado hawana tiketi, mna leo na kesho tu, uzoefu unaonyesha changamoto zinakuwa nyingi unaposubiri kukata tiketi siku ya tukio

Wiki ya Mwananchi ya mwaka huu imewavuta Wananchi kutoka kila pembe ya Tanzania na hata nchi jirani kuja kushuhudia tukio hilo la kihistoria

Kwa mara ya kwanza Wiki ya Mwananchi inakwenda kuwakutanisha wasanii wote wakubwa nchini Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’