Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi pamoja na Kocha Msaidizi, Moussa Ndao wanaendelea kukisuka kikosi cha Yanga kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi
Jumamosi, Julai 22 Yanga itachuana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa kuhitimisha wiki ya Mwananchi ambayo imezinduliwa leo mkoani Mwanza
Utakuwa mchezo wa kwanza kwa Gamondi kuwapa Wananchi radha ya soka la Ki-Argentina na Ki-Italiano
Yanga ilianza mazoezi Jumatano, leo ikiwa siku ya nne tangu mabingwa hao wa nchi waanze pre-season

Katika benchi la ufundi pia yupo daktari Khalid Ben Youssef ambaye alikuwa sehemu ya benchi lililopita
ADVERTISE HERE