Ni rasmi klabu ya Yanga imetambulisha usajili wa winga Maxi Nzengeli mutoka klabu ya Maniema United ya DR Congo
Inaaminika Maxi ndiye winga bora zaidi katika kizazi hiki cha wachezaji kutoka DR Congo
Yanga ililazimika kununua mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki na Maniema kisha kumsainisha mkataba wa miaka miwili
Ni rasmi, Maxi ni Mwananchi....!
ADVERTISE HERE