Leo Yanga inatarajiwa kutambulisha mchezaji wa nne aliyesajiliwa katika dirisha hili la usajili. Utambulisho huo utafanyika majira ya saa 5 usiku
Yanga ilianza kwa kumtambulisha Nickson Kibabage na juzi kumtambulisha beki kisiki Gift Fred
Jana ikawa zamu ya Nungunungu Jonas Mkude ambaye Wananchi wamempokea kwa shangwe
Winga kiberenge Max Mpia Nzengeli kutoka Fc Maniema ya DR Congo alitua nchini jana, tetesi zikibainisha kuwa tayari amemaliza na Yanga
Je ni yeye au kuna surprise nyingine? Tusubili...!
ADVERTISE HERE