Bodi ya Ligi imetangaza Ligi Kuu ya NBC 2023-24 inatarajiwa kuanza August 15 2023 na kufikia tamati May 25 2024
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amesema ratiba itawekwa hadharani karibuni baada ya kupokea kalenda ya mashindano ya FIFA na CAF



ADVERTISE HERE