Yanga imetangaza kuwa mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi itachuana na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumamosi Julai 22 2023 kuanzia saa 1 usiku
Kwa hakika HII IMEENDAAA....!

ADVERTISE HERE