Jana jioni Balozi wa Tanzania nchini Botswana, Sylvester Ambokile alitembelea kambi ya kikosi cha Yanga iliyoko jijini Gaborone.
Balozi alipata wasaa wa kuzungumza machache na kikosi cha Yanga pamoja na kula chakula cha jioni.

Yanga iko nchini Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers. Mchezo unaopigwa keshokutwa Jumamosi.

ADVERTISE HERE