Baada ya uzinduzi wa kihistoria nchini Malawi, jezi za Yanga tayari zinapatikana madukani
Vunjabei ametangaza jezi zinapatikana katika maduka yake yote nchi nzima
Kwingine ni kama kawaida maduka ya GSM na duka la klabu ya Yanga pale Jangwani, jezi zitaanza kuuzwa kuanzia saa 2 asubuhi
Habari ya mjini leo ni jezi za Yanga msimu wa 2023/24 ambazo zimezinduliwa Ikulu ya Malawi!




ADVERTISE HERE