Yanga katika ushirikiano na Wakiso Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2023
Yanga katika ushirikiano na Wakiso Fc

Klabu ya Wakiso Fc inayoshiriki ligi kuu ya Uganda imeingia makubaliano ya ushirikiano na mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga Sc

Katika msafara wa Yanga uliotua Malawi kwa ajili ya mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets katika maadhimisho ya Uhuru wa Malawi Julai 06, kuna wachezaji wawili kutoka klabu ya Wakiso Fc

Wachezaji hapo Moses Aliro na Shariphu Kimbowa wamekuja kupata uzoefu wa mafunzo pia watashiriki pre-season ambapo baada ya hapo watarejea Katika timu ya Wakiso Fc

Yanga na Wakiso Fc zimekubaliana kushirikiana kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo ya michezo ikiwemo baadhi ya wachezaji wao kuja Yanga Sc kujifunza na kupata Uzoefu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’