Msimu uliopita ulikuwa wa kihistoria kwa Yanga kwenye mashindano ya CAF baada ya kucheza fainali ya kombe la Shirikisho
Kilichokosekana ni kombe tu lakini hii itabaki kuwa kumbukumbu kubwa kwa Wananchi
Mafanikio ni hatua, kucheza fainali ya Shirikisho ni hatua ya karibu zaidi kuelekea kuwa bingwa
Kilichofanyika msimu uliopita naamini Yanga inaweza kukirudia tena msimu huu, wachezaji wameonyesha wanaweza kufanya makubwa
Yanga itarudi tena kwenye majukwaa haya, safari hii itachukua medali na kombe!



ADVERTISE HERE