Chirwa amewapania Waswana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2018
Chirwa amewapania Waswana
Yanga iko nchini Botswana ambako imeweka kambi kwenye Hoteli ya Crystal Palace iliyo katikati ya jiji la Gaboronne.

Yanga ikiwa na silaha zake kamili imejichimbia katika Hoteli hiyo yenye mazingira ya utulivu ikijiandaa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers, unaopigwa Jumamosi March 17 2018.

Mshambuliaji Obrey Chirwa ana hamasa kubwa kuelekea mchezo huo, mwenyewe akiahidi Yanga kuibuka na ushindi utakaoivusha hatua ya makundi.

Yanga inahitaji kushinda angalau mabao 2-0 ili iweze kufuzu. Aidha ushindi wa kuanzia mabao 3 utaihakikishia kutinga hatua hiyo pia.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’