Saa tano asubuhi leo Jumatatu, Julai 03 klabu ya Yanga itakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano huo utafanyika Aura Mall Upanga jijini Dar es salaam
Wiki hii Yanga itakuwa matukio makubwa ikiwa ni pamoja na kusaini mikataba ya Udhamini, uzinduzi wa jezi na utambulisho wa wachezaji wapya

ADVERTISE HERE