Makubaliano na CRDB

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2023
Makubaliano na CRDB

Klabu ya Yanga imeingia makubaliano ya ushirikiano na Benki ya CRDB katika kuongeza ufanisi wa Usajili na Masuluhisho ya kifedha kwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga

Kuanzia Julai 05, Mashabiki na Wanachama wa Yanga wataweza kulipia na kujipatia kadi zao katika Matawi ya CRDB nchi nzima

Huo ni mkataba wa pili umesainiwa leo Jumamosi, mkataba wa kwanza ukiwa baina ya Yanga na NMB ambao utaanza rasmi Julai 10

Wanachama na Mashabiki wa Yanga wameaswa kutumia fursa hiyo kujisajili, kupata kadi zao za uanachama pamoja na kulipia ada zao katika Matawi ya CRDB na NMB nchini kote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’