Klabu ya Yanga leo Jumamosi majira ya saa nne asubuhi itakuwa Makao Makuu ya benki ya NMB na itazungumza na Wanahabari katika Mkutano wa pamoja na benki hiyo
Baadae wataelekea Makao Makuu ya benki ya CRDB katika tukio jingine litakalofanyika saa 7 mchana


ADVERTISE HERE