Bryson kuibukia Singida Fountain Gate

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2023
Bryson kuibukia Singida Fountain Gate

Mlinzi wa kushoto wa Yanga David Bryon yuko mbioni kujiunga na Singida Fountain Gate Fc, imefahamika

Bryon aliyemaliza mkataba na Yanga, anaelekea kutua Singida akiwa mchezaji huru

Huenda akapishana na Nickson Kibabaje wa Singida Fountain Gate ambaye anahusishwa na Yanga

Bryson ameitumikia Yanga kwa misimu miwili haikuwa rahisi kwake kujihakikishia nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza

Majeraha ya mara kwa mara yalichangia Bryson kukosa mwendelezo mzuri wa kucheza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’