Kikosi cha Yanga kimetua nchini Botswana mapema leo tayari kwa mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers.
Yanga imefikia hoteli ya Kimataifa ya Crystal Palace jijini Gaborone.

Itaikabili Township Rollers Jumamosi, March 17 2018
Yanga imefikia hoteli ya Kimataifa ya Crystal Palace jijini Gaborone.

Itaikabili Township Rollers Jumamosi, March 17 2018
ADVERTISE HERE