Leo kazaliwa mwamba kwekweli Fiston Kalala Mayele, mshambuliaji adui wa magolikipa na rafiki wa nyavu
Msimu uliopita ulikuwa bora zaidi kwa Mayele akitimiza malengo binafsi pamoja na Yanga
Mayele alikuwa mfungaji bora wa ligi kuu, kombe la Shirikisho barani Afrika akiisaidia Yanga kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo, kombe la FA na Ngao ya Jamii na kufika fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika
Mayele pia akaondoka na tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu huku akipokea tuzo maalum kutoka kwa uongozi wa Yanga baada ya kuibuka kuwa mchezaji bora wa msimu
Katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa, Mwananchi tunamtakia kila la kheri
HAPPY BIRTHDAY MAYELE..!
ADVERTISE HERE