Kibwana, Job waja na WAPE TABASAMU

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2023
Kibwana, Job waja na WAPE TABASAMU

Wachezaji wa Yanga Kibwana Shomari na Dickson Job wameandaa mechi maalum ya hisani mkoani Morogoro kwa ajili ya kusaidia jamii

Mchezo huo maalum wa WAPE TABASAMU, utapigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro Ijumaa ya Juni 30 2023 saa 8 mchana

Huu umekuwa sehemu ya utamaduni wa Yanga na sasa wachezaji wake wanaandaa matukio ya aina hiyo kwa ajili ya kusaidia jamii

Hivi karibuni nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na Zawadi Mauya walizindua Taasisi ambayo inatoa misaada kwa wenye uhitaji

Kibwana na Job nao wanarejesha kidogo walichokipata kwa jamii, hili ni jambo ambalo lina baraka za Mwenye ez Mungu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’