Mkutano Mkuu wa Yanga ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jun 2023
Mkutano Mkuu wa Yanga ni leo

Klabu ya Yanga leo Jumamosi, Juni 24 inafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanachama

Mkutano huo unaofanyika kwa mujibu wa ibara ya 20 ya Katiba ya Young Africans SC ya Mwaka 2021 utafanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre uliopo Posta jijini Dar es Salaam

Ajenda za Mkutano huo zitakua:

  1. Kufungua Mkutano
  2. Uhakiki wa wajumbe wanaohudhuria mkutano
  3. Kuthibitisha Ajenda
  4. Kuthibitisha kumbukumbu za mkutano uliopita
  5. Yatokanayo na kumbukumbu za mkutano uliopita
  6. Hotuba ya Rais
  7. Kupokea na kujadili taarifa za kazi kutoka Kamati ya Utendaji
  8. Kuthibitisha hesabu za fedha zilizokaguliwa za mwaka uliotangulia, pamoja na kusomewa mapato na matumizi ya Klabu
  9. Kuthibitisha bajeti kwa mwaka unaofata
  10. Kuthibitisha wajumbe wa Baraza la wadhamini
  11. Kufunga Mkutano
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’