Mayele alivyowatetemesha akina Inonga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2023
Mayele alivyowatetemesha akina Inonga

Fiston Mayele kwa sasa ni habari ya mjini Afrika! mchezaji aliyepata mafanikio makubwa zaidi katika soka la Afrika msimu huu

Mayele amefunga bao katika kila mashindano aliyoshiriki msimu huu. Mfungaji bora Ligi Kuu, NBC, mfungaji bora kombe la Shirikisho barani Afrika, kafunga mabao mawili kwenye kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na mabao saba katika hatua za awali Ligi ya mabingwa msimu uliomalizika

Jana akiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya DR Congo, Mayele aliwatetemesha kina Hennock Inonga kwa bao maridani katika mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 katika ushindi wa mabao 2-0 ambao DR Congo waliupata dhidi ya Gabon

Utaelewa kwa nini kuna watu hawapendi kumuona Mayele akiendelea kubaki Yanga kwani wanafahamu sasa mchezaji bora huyo wa Ligi Kuu ya NBC amekamilika na huo moto wake hakuna wa kuuzima!

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema watafanya kila linalowezekana kumbakisha Mayele katika mitaa ya Twiga na Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’