Hili ni jembe la ukweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2018
Hili ni jembe la ukweli
Beki Ally Ally amekuwa katika kiwango bora katika klabu yake ya Stand United. Ni mmoja wa mabeki makini kwenye ligi kuu ya Vodacom msimu huu msimu huu.

Bila shaka mwishoni mwa msimu 'vigogo' wa soka nchini watapigana vikumbo kuwania sahihi yake.

Huyu ni wa kumuweka sawa mapemaaa hasa ikizingatiwa Yanga inahitaji kuongeza walinzi wawili kuziba nafasi ya beki aliyeota mbawa, Fiston Kayembe Kanku na mkongwe Nadir Haroub ambaye huenda akastaafu mwishoni mwa msimu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’