Yanga yazoa tuzo za TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2023
Yanga yazoa tuzo za TFF

Msimu bora wa Yanga ulihitimishwa kwenye usiku wa tuzo za TFF usiku ambapo Yanga ilifanikiwa kuondoka na tuzo zote muhimu

Fiston Mayele ndiye mchezaji bora wa msimu akiondoka na tuzo tatu, mfungaji bora na tuzo kubwa ya MVP pamoja na tuzo ya goli bora la msimu

Mayele yuko Cameroon katika majukumu ya timu ya Taifa, tuzo zake zilipokewa na mkewe kwa niaba yake

Kocha Nasreddine Nabi akaondoka na tuzo ya kocha bora wa msimu wakati BBD Dickson Job akiondoka na tuzo ya beki bora wa msimu

Clement Mzize nae akabeba tuzo ya mchezaji bora chipukizi wakati Djigui Diarra akiondoka na tuzo ya kipa bora kombe la FA na Ligi Kuu

Nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto akabeba tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’