Ni medali ya nne kwa Yanga msimu huu baada ya kukabidhiwa taji la FA kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani
Medali zimejaa shingoni, Wananchi wameliteka soka la Tanzania kwa msimu wa pili mfululizo
Mataji sita katika msimu miwili pamoja na fainali ya kombe Shirikisho la Azam (ASFC) kwa hakika ni jambo la kujivunia kwa YangaΒ
Mwisho wa msimu ni mwanzo wa maandalizi ya msimu mwingine wa mafanikio kwa Yanga

Hongera Wananchiiiiii...!
ADVERTISE HERE