Kesho Ijumaa pale uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya Yanga itakabidhiwa taji la Ligi Kuu ya NBC baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Tayari maandalizi ya shamrashamra za ubingwa yamekamilika ambapo parade litafanyika Jumamosi, Juni 10 kuanzia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Wananchi wa Dar watapata fursa ya kulishuhudia kombe jipya ambalo Yanga watakabidhiwa mkoani Mbeya

ADVERTISE HERE