Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi mkoani Mbeya kujiandaa na mchezo wa kuhitimisha msimu ligi kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa Ijumaa, Juni 12 katika uwanja Sokoine

ADVERTISE HERE