Mayele na Saido kazi ipo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2023
Mayele na Saido kazi ipo

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ameongoza mbio za wafungaji ligi kuu ya NBC kwa zaidi ya miezi sita lakini sasa anakabiliwa na upinzani kutoka kwa Saido Ntibazonkiza wa Simba aliyefikisha mabao 15

Mayele mwenye mabao 16 atahitaji kufunga kwenye mchezo wa mwisho siku ya Ijumaa dhidi ya Tanzania Prisons ili kuhakikisha anakuwa mfungaji bora

Msimu uliopita Mayele alikosa ufungaji bora mechi ya mwisho ya msimu baada ya George Mpole kufunga na kufikisha mabao 17

Ni wazi upinzani utakuwa mkali katika mchezo wa mwisho Saido na Simba watakuwa wakicheza na Coastal Union katika uwanja wa Uhuru wakati Mayele atahitaji kuwaadhibu maafande wa Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Sokoine

Baada ya kuwa mfungaji bora wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, ni wazi Mayele anahitaji kushinda tuzo ya Ligi Kuu ambayo ameongoza kwa muda mrefu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’