Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United, kikosi cha Yanga kikiwa na wachezaji 20 kinatarajiwa kuondoka usiku huu, leo Jumatatu kuelekea nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marudiano, ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers.
Yanga itaikabili Township Rollers Jumamosi ijayo, March 17 huko nchini Botswana.
Licha ya kuwa nyuma kwa mabao 2-1, benchi la ufundi la Yanga limedhamiria kuhakikisha wanaibuka na ushindi ugenini kuweza kutinga hatua ya makundi.
Yanga inahitaji kupata ushindi wa angalau mabao 2-0.

ADVERTISE HERE