Klabu ya Yanga imetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk Samia Suluhu Hassan kwa halfa ya pongezi baada ya kucheza fainali ya kombe la Shirikisho CAF msimu huu
Yanga pia imemshukuru Rais kwa hamasa kubwa aliyotoa katika michuano hiyo ambayo Yanga ilimaliza katika nafasi ya pili wakikosa ubingwa kutokana na kanuni za CAF bada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya USM Alger

ADVERTISE HERE