Rais wa klabu ya Yanga Hersi Said amekabidhi medali za CAF kwa Wajumbe wa Kamati ya Utendaji
Yanga ilipata medali hizo baada ya kuwa washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho la Caf, msimu huu

ADVERTISE HERE