Kikosi cha Yanga kimerejea nchini usiku wa kuamkia leo wakitokea Algeria ambako walikamilisha mchezo wa pili wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger
Mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa wingi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kuwalaki mashujaa wao ambao wameiletea Tanzania heshima kubwa




ADVERTISE HERE