Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ameibuka kuwa mfungaji bora wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika msimu huu wa 2022/23
Mayele ameshinda tuzo hiyo baada ya kupachika mabao saba
Ranga Chivaviro wa Marumo Gallants ameshika nafasi ya pili akipachika mabao sita
Chivaviro anaweza kucheza na Mayele msimu ujao Yanga ikihusishwa kumuwania
Umekuwa msimu bora zaidi kwa Mayele katika mashindano ya CAF akipachika jumla ya mabao 13 kuanzia hatua ya awali kwenye ligi ya mabingwa
ADVERTISE HERE