Yanga itaondoka nchini Alhamisi, saa 5 asubuhi kuelekea Algeria wanakokabiliwa na mchezo wa mkondo wa pili fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger, mchezo utakaopigwa Jumamosi, Juni 03
Msafara unaokwenda Algeria kwa kutumia ndege ya ATCL, utajumuisha watu 252 ambao 29 ni wachezaji wa Yanga
Msafara huo pia utajumuisha viongozi, mashabiki na Waandishi wa Habari

ADVERTISE HERE