Siku moja tangu kutangazwa kwa viingilio vya mechi ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger itakayopigwa Mei 28 tayari, uongozi wa Yanga umetangaza tiketi za VIP A ambazo thamani yake ni Sh100,000 zimeisha
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka wanachama, mashabiki na wadau kuendelea kununua tiketi za VIP B, VIP C na mzunguko

ADVERTISE HERE