Salamu za pongezi kutoka kwa Rais Samia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2023
Salamu za pongezi kutoka kwa Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufanikiwa kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Jana Yanga ilitinga fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1dhidi ya Marumo baada ya ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa jana

Rais Samia amesema Yanga imeipa heshima Tanzania na ameitakia kila la kheri katika hatua ya fainali

Ushindi dhidi ya Marumo jana umeihakikishia Yanga kuondoka na jumla ya Tsh Milioni 40 za bonas ya Mama baada ya kufunga mabao manne katika mechi zote mbili za nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’