Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza Yanga kwa kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuichapa Marumo Gallants mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo
Yanga imetinga fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza
Yanga imeweka rekodi kwa kuwa timu ya kwanza Tanzania kutinga fainali ya kombe la Shirikisho la CAF
Yanga itacheza fainali itacheza na mshindi kati ya USM Alger dhidi ya ASEC Mimosas
ADVERTISE HERE