Aziz Ki ashinda goli bora la wiki CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2023
Aziz Ki ashinda goli bora la wiki CAF

Bao alilofunga Stephane Aziz Ki katika mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants, limeshinda tuzo ya goli bora la wiki

Aziz Ki aliifungia Yanga bao la kwanza katika mchezo huo ambao Wananchi waliibuka na ushindi wa mabao 2-0

Hiyo ni tuzo ya tatu kwa Yanga kushinda baada ya Fiston Mayele na Mudathir Yahya nao kushinda tuzo hiyo kwenye hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’