Kiungo Thabani Kamusoko leo amerejea kwenye kikosi cha Yanga kwa mara ya kwanza baada ya kuwa nje kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeruhi.
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina alimpa kiungo huyo dakika 70 za kuwa dimbani kabla ya kumtoa na kumuingiza Yusuph Mhilu aliyeongeza kasi ya mashambulizi ya Yanga.
Kamusoko ameonyesha kuwa tayari kurejea katika kiwango chake ingawa bado anahitaji muda zaidi kuweza kwendana na kasi ya mchezo.
Ni dhahiri benchi la Ufundi limefanya maamuzi sahihi ya kumpa nafasi kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar tofauti na mtazamo wa mashabiki wengi waliotamani kumuona kwenye mchezo dhidi ya Township Rollers.

ADVERTISE HERE