GSM aongeza mzuka Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2023
GSM aongeza mzuka Afrika Kusini

Mdhamini/Mfadhili wa Yanga Gharib Said Mohammed 'GSM' amewasili Afrika Kusini akiungana na viongozi wengine kuelekea mchezo wa mkondo wa pili nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Marumo Gallants

GSM aliwasili jana akiungana na Rais wa Yanga, Hersi Said na Makamu wake Arafat Haji ambao walitangulia na timu

 Viongozi wengine waliotangulia ni pamoja na wajumbe wa kamati ya Utendaji Munir Said, Alexander Ngai na Yanga Makaga ambaye aliwasili leo

Yanga itacheza mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Mei 17 mwaka huu dhidi ya wenyeji wao Marumo Gallants utakaoamua nani atinge fainali, huku Yanga wakiwa na faida ya ushindi wa mabao 2-0 walioupata jijini Dar es Salaam wiki iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’