Aliyekuwa mlinda lango wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga, Ali Mustafa 'Barthez' amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Singida United.
Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga amemtambulisha Barthez kuwa mchezaji wa Singida United leo muda mfupi baada ya kusaini mkataba huo.
Tumtakie kila la kheri katika klabu yake hiyo mpya inayonolewa na kocha Hans van Pluijm aliyewahi kuwa kocha wa Yanga.

ADVERTISE HERE