Yanga yakomba 600M Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2023
Yanga yakomba 600M Ligi Kuu

Baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC, Yanga imejihakikishia kuondoka na kitita cha Tsh 600M kutoka kwa wadhamini Azam Media na NBC Bank

Milioni 500 ni kutokana na haki za matangazo ya televisheni kutoka Azam Media wakati Milioni 100 zinatoka kwa Wadhamini wa Ligi, NBC

Simba ambayo imemaliza katika nafasi ya pili itaondoka na Tsh Milioni 300 wakati timu itakayomaliza nafasi ya tatu itaondoka na Tsh Milioni 255. Mshindi wa nne atajinyakulia kitita cha Tsh Milioni 200

Yanga pia inatarajiwa kukusanya Tsh Bilioni 3 kutokana mkataba wa Maudhui kati yake na Azam Media

Aidha kwa kufika nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika Yanga imejihakikishia kitita cha Tsh Bilioni 1.1, kiwango hicho kitaongezeka na kufikia Tsh Bilioni 1.5 kama itatinga fainali

Iwapo Yanga itatwaa ubingwa wa Shirikisho barani Afrika, itavuna karibu Tsh Bilioni 3

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’