Klabu ya Yanga leo Ijumaa, May 12 2023 itazungumza na Waandishi wa Habari, Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es salaam
Wanahabari wamekaribishwa katika Mkutano huo unaotarajiwa kufanyia kuanzia saa nane mchana

ADVERTISE HERE